Caren Simba amefunguka kuwa hajawahi kudate na mchezaji wa Yanga, Pacome Zouzoua kama ilivyokuwa inasambaa mitandaoni, pili alikuwa ni shemeji yake kupitia kwa rafiki yake (Vanesa aliyezaa na Aziz Ki) pia amejibu kuhusu kuwaunganisha PacΓ΄me na Official Nai.

”Unajuwa kwanza alikuwa anamfahamu nyie mnanijua kama Caren Simba yeye ananijua kama mama mtoto wake na ile ilivyotrend kwamba mimi siongei na nai kisa Pacome mimi mwenyewe kwanza ilinikata kwasababu mara ya mwisho ulivyonihoji Nai alikuwepo na tuliongea mimi sijawahi kudate naye” Amesema -Caren Simba.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *