Kila kitu kina gharama zake kwenye maisha. Ndivyo ilivyo kwa ‘Single Mama’ SARAH kupitia tamthilia ya ‘THE PRICE,’ utakayoanza kuitazama kuanzia Desemba 10, 2025 kupitia #AzamTWO makao makuu ya burudani ndani ya kisimbuzi chako cha #AzamTV
#ThePriceAzamTWO #AzamTVBurudaniKwaWote