KWAHERI EVERMORE | Usikose kutazama kipindi maalum leo tukiiaga tamthilia ya #Evermore na kuikaribisha tamthilia ya #ThePrice
Tumewaalika wanakilishaji sauti kutoka Evermore, Farouk Bey @beka_mtanzania, Sureyya @shanna_authentic na #Yustina @aprilyuyu1 aliyehusika miongoni mwa waimbaji.
Tukutane saa 3:00 usiku #AzamTWO