Leo Desemba 09, 2025 pia ni kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwa muigizaji @drsakina_wamzani ambaye kwa sasa unampata kama Mama Hamida (@divah_queen_of_eyes) kwenye tamthilia ya #PichaYangu
Ungana naye leo kuanzia saa 1:30 usiku ndani ya #SinemaZetuHD ukiitazama #PichaYanguSeries kutoka Lushoto, Tanga Tanzania.