Msimamo wa Halima Mdee unabaki kuwa ule ule ambao ni kuwa kuliko kufanya siasa nje ya Chadema ni bora aache kabisa siasa
Halima bado anaamini kuwa atarejea Chadema na kuendeleza harakati, kiufupi ni kuwa Halima anaipenda sana Chadema na kwakwe yeye ni chama cha siasa cha maisha yake
Kama tulivyosema tangu mwezi June Halima yupo tayari kuacha siasa kuliko kufanya siasa nje ya Chadema