Shaiza/Mussa anakutana na machachari Shaiza…Kijana Wakisambaa ambaye ana mapenzi makubwa na binti Hamida, ambaye ametangaziwa ndoa na Sheiza…Hehehe patamu hapo.

Sheiza amefanikiwa kuingia kwenye kasri la Mzee Maega, tayari kabisa kuanza upelelezi wake na kuchukua kile alichotumwa na shirika la kijasusi lililoajiriwa na Bisura kujua zilipo hazina zilizofichwa na Maega.

Kumbuka pia mali hizo hizo zinasakwa na Mzee Maige mdogo wake Maega ambaye kwa sasa yuko jela…

Tuendelee na hadithi tamu ya #PichaYanguSeries kila Jumatatu hadi Alhamisi saa 1:30 usiku #SinemaZetuHD

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *