Soko la Kawe lililopo Manispaa ya Kinondoni, Jijini Dar es salaam limeendelea kutoa huduma zake kama kawaida ambapo Clouds imeshuhudia Wananchi wakiendelea kujipatia mahitaji yao mbalimbali ya nyumbani.
#CloudsDigitalupdates