Ujio wa Bisura unataka kuharibu uhusiano wa mabinti zake 🙌 Kumbuka Radhia na Chaichaka hawakukua pamoja utotoni…Radhia alikulia Ulaya alipokuwa akiandaliwa kuwa jasusi, wakati ambao Chaichaka alikulia kituo cha watoto Yatima; wakati huo Bisura alikuwa akimtembelea kila uchwao na kujifanya ni mlezi wa kituo jasusi mkubwa huyu 🥹

Tuendelee na hadithi tamu ya #PichaYanguSeries kila Jumatatu hadi Alhamisi saa 1:30 usiku #SinemaZetuHD

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *