10 Desemba 2025

Waasi wa M23 wachukua udhibiti wa mji wa Uvira huko mashariki mwa DRC. Ukraine kuwasilisha Jumatano kwa Marekani nyaraka iliyofanyiwa marekebisho ya mpango wa amani. Jumuiya ya ECOWAS imesema eneo la Afrika Magharibi liko katika hali ya dharura.

https://p.dw.com/p/552es

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *