Jasusi mwingine ni Kachio, rafiki wa damu wa Chaichaka, licha ya urafiki wao…Kachio ana kazi maalum anazotumwa na jeshi kuhusu mali au hazina inayomilikiwa na Mzee Maega.

Kupitia Chaichaka, kazi yake kubwa ni kumlinda lakini pia kufanikisha misheni za jeshi…Kachio ni mfukia mashimo ya binti drama Chaichaka, ambaye kwa sasa hataki kumsikia wala kumuona mama yake Bisura.

Tuendelee na hadithi tamu ya #PichaYanguSeries kila Jumatatu hadi Alhamisi saa 1:30 usiku #SinemaZetuHD

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *