KARIBU TAMTHILIA YA PICHA YANGU | Kuhusu uhusika wa Mussa/Shaiza huyu huyu hapa @cox_toto akieleza namna alivyouvaa uhusika huo na kisa cha yeye kuingia kwenye mgogoro wa kimapenzi na kazi.
Usikose kutazama #PichaYanguSeries kila Jumatatu – Alhamisi saa 1:30 usiku #SinemaZetuHD pekee.