KARIBU TAMTHILIA YA PICHA YANGU | Mmoja kati ya waigizaji watakaokuvunja mbavu zako kwenye Picha Yangu; ni pamoja na @amani_kigoye ambaye humo amecheza kama Shakei, mfanyakazi mwenzake Sheiza ambao wote kwa wakati mmoja macho yao yatandoka kwa Hamida.

Usikose kutazama #PichaYanguSeries kila Jumatatu – Alhamisi saa 1:30 usiku #SinemaZetuHD pekee.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *