KOMBOLELA TAMTHILIA BORA UBUNIFU WA MAVAZI
Hongera kwa timu nzima ya @nabra_creative_company kwa ushindi wa tuzo ya tamthilia bora ubunifu wa mavazi kutoka jukwaa kubwa la @swahilifashionweek
Mwasisi wa Nabra Creative ambao ndio watayarishaji wa tamthilia hiyo kwa ushirikiano na Azam Media Limited, @abdullywriter amezungumza mara baada ya kupokea tuzo hiyo.
#KombolelaSeason2 #KombolelaSeries