Kuelekea dirisha dogo la usajili Januari 2026, Simba SC tayari imefanya mawasiliano ya awali kumrejesha kikosini Luis Miquissone. ‎ ‎

Kuna uwezekano mkubwa Joshua Mutale akatolewa kwa mkopo endapo atakuwa tayari ama kuvunjiwa mkataba. Kumpisha Luis. ‎ ‎

Kwa nini Miquissone?

Kwa Mujibu wa mmoja wa Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, ni kwamba walichoanga kwa kina na wanaona kina mashiko…. fomu yake ya sasa ndani ya UD Songo plus numbers. ‎

Pili uzoefu wake Ligi ya Bongo na kuyajua mazingira kwa ujumla. Pia anaujua utamaduni wa Simba. ‎

Tatu anatwanga mashindano ya CAF kwa kuwa timu yake haikushiriki tofauti na wachezaji wengi wazuri waishatumika na timu zao ngumu kumtumia tena msimu huu. Kununi za CAF zinawabana.

Cc. @maregesnyamaka

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *