
Mpatanishi Marekani, anazitaka Rwanda, M23 ‘kuondoa’ wanajeshi mashariki mwa DRC
Mataifa yenye nguvu ya Ulaya na Marekani yametoa wito kwa wanajeshi wa Rwanda na wapiganaji wa M23 kusitisha mara moja mashambulizi mashariki mwa DRC, siku chache baada ya marais wa nchi hizo kutia saini makubaliano mjini Washington.