Mwanzilishi wa Tanzania Fashion & Style Awards, itakayofanyika 20 DEC 2025, ambaye pia ni model @daxxcruzofficial, ameweka wazi kupitia kipindi cha Clouds E kuwa kwenye tasnia ya uwanamitindo Tanzania hakuna ushirikiano.
Pia amesema kuwa baadhi ya wanamitindo hawatambui thamani yao, ndiyo maana hawaonekani na hawathaminiki kwenye jamii.
Ameanzisha tuzo hizi ili kuwarudishia thamani wanamitindo wa Tanzania.
Cc @neypova_