Shaiza/Mussa ameanza kazi rasmi lakini alipewa onyo kuhusu Radhia, mtoto mkubwa wa Mzee Maega kuwa ni jasusi pia hivyo awe makini, kijana wa watu amezimika na Radhia hataki maelekezo hapo 😅🙌
Tuendelee na hadithi tamu ya #PichaYanguSeries kila Jumatatu hadi Alhamisi saa 1:30 usiku #SinemaZetuHD