Hayo ni baada ya kuvunjika kwa makubaliano ya hivi karibuni ya kusitisha mapigano, huku idadi ya waliouawa ikizidi kuongezeka. Thailand na Cambodia zinalaumiana kwa kuanzisha makabiliano mapya katika mzozo huo wa mpakani uliodumu kwa miaka mingi.

Mapigano ya wiki hii ndiyo mabaya zaidi tangu vita vya Julai vilivyoua watu kadhaa na kuwahamisha zaidi ya 300,000 kabla ya makubaliano ya usitishaji vita yaliyosimamiwa na Marekani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *