Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ametoa pongezi kwa Askari wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama waliohakikisha kuwepo kwa hali ya amani na utulivu huku kukitajwa kuwepo kwa fununu za maandamano yasiyo na kikomo.

Ametoa kauli hiyo baada ya kukutana na Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Askari wa Jeshi la Polisi katika mitaa mbalimbali jijini Dar es Salaam.

#CloudsDigitalupdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *