YANGA WANAMMEZEA MATE TOP SCORER WA MSUMBIJI
Yanga Wanatafuta uwezekano wa Kumsajiri top Scorer Wa Ligi ya Msimbazi Luis José Miquisone .
Baada ya Kuonesha Kiwango bora Taangu Arejee Masumbiji Vilabu Vingi vimevutiwa kuhitaji huduma yake, Dar Es Salaam Young Africa ni miongoni Club ambazo zimeonesha nia ya Kuhitaji Huduma yake ✍🏼✍🏼