ALAMA za Sultani Tamba tutazitazama leo kuanzia saa 2:00 usiku ndani ya #SinemaZetuHD
@sophiamgaz anasema huyu ni mbunifu asiyechoka, mwandishi aliyefungua njia kwa vizazi vipya. Jiwe la msingi la #BongoMovies.
Safari yake bado inaendelea…leo tutaitazama kwa kiasi kilichopo.
#SinemaZetuHD #HakikaNiZaKwetu