Dereva wa Bisura kajinyonga au kamalizwa na watesi wake? Baba Mussa anamtaka mwanaye hataki jambo jingine zaidi. Usikose kutazama #PichaYanguSeries leo saa 1:30 usiku ndani ya #SinemaZetuHD chaneli namba 106 kwenye kisimbuzi chako cha #AzamTV pekee.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *