Duso amepanga kumtoa Maige jela…Kumbuka Maige ana ugomvi mkubwa na kaka yake, Maega ambaye kwa sasa anashikilia mali ambazo mdogo wake anadai ni zake…
Tuendelee na hadithi tamu ya #PichaYanguSeries kila Jumatatu hadi Alhamisi saa 1:30 usiku #SinemaZetuHD