Hali ya huzuni imetanda nyumbani kwa marehemu Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho, huku ndugu, jamaa na marafiki pamoja na viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa wakiendelea kuwasili wakitoa pole kwa familia.
Maandalizi ya awali ya msiba yakiendelea kuratibiwa nyumbani kwa marehem Itega jijini Dodoma.
@jamesbunuma
#Cloudsdigitalupdates