Leo ni kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwa mmoja kati ya wahariri wa picha jongefu waliofanya kazi nyingi zilizoruka ndani ya #SinemaZetuHD chaneli namba 106 kwenye kisimbuzi cha #AzamTV

Anaitwa Kassim Adam maarufu kama @iamk2me, ambaye kazi zifuatazo zilipita kwenye meza yake ya uhariri;
Mwanamuziki, Ripoti, Tufani, Vacation zote za JB, pamoja na hizo nyingine ni Mzani wa Mapenzi ya Dativa Wondervision, Toboatobo, Moyo, Chini ya Kapeti, Taswira na sasa ni Picha Yangu.

Kazi gani unaikubali zaidi hapo?

Happy Birthday #K2Me

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *