“Nimekuwa kwenye mazingira ambayo sina mtu wa kumwambia kwamba nina shida fulani. Kwahiyo hatua ngumu nilizokuwa napiga Mimi binafsi nilikuwa naziona kwa watu wengine”-@Aunty_Kauthar Mwandishi wa Vitabu na Mkufunzi wa Malezi.
#clouds360
#Clouds26Nyoosha
#LainiYaWana