Sehemu ambapo mzunguko wa fedha upo chini maana yake ni kwamba chachu ya maendeleo nayo inakuwa ipo chini.

“Ukichukua rasilimali tulizonazo ukiweka na mifumo ya malipo ambayo inasaidia mzunguko wa fedha na uchumi unaongezeka”-

“Niwahakikishie Watanzania mifumo ya malipo ipo salama na fedha zao zipo salama”- Fabian Kasole, Meneja Msaidizi, Kurugenzi ya Mifumo ya Malipo ya Taifa Benki Kuu Ya Tanzania (BoT)

#sentrocloudstv

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *