Ukumbusho mtakatifu umezua balaa baina ya makundi tofauti. Tekfur Lukas hakubaliani na suala la Alaeddin kukamatwa na Tekfur Andre. Kalesi Bey anaendelea kutanua mbawa zake.
Usikose leo OTTOMAN kuanzia saa 4:00 usiku ndani ya #AzamTWO pekee.