“Uwepo wa hii mifumo na thamani ya fedha na hali ya uchumi kwa sababu tunasema ukuaji wa uchumi unategemea namna gani ule mzunguko wa fedha unavyokuwepo.
“Kwa sababu mzunguko wa fedha ndio chachu ya maendeleo. Sehemu ambapo mzunguko wa fedha upo chini maana yake ni kwamba chachu ya maendeleo nayo inakuwa ipo chini.
“Ukichukua rasilimali tulizonazo ukiweka na mifumo ya malipo ambayo inasaidia mzunguko wa fedha na uchumi unaongezeka”- Fabian Kasole, Meneja Msaidizi, Kurugenzi ya Mifumo ya Malipo ya Taifa Benki Kuu Ya Tanzania (BoT).
#SentroYaCloudstv
#LainiYaWana