Aziza na Jemo wanalazimika kusema ukweli kwanini wanajificha. Yusuf anatakiwa kuwasaidia wasikamatwe na kina Yavuz. Hashmet, Melis na wanafamilia wengine hawaoni uzito huo. Balim ana swali zito kidogo kwa Aziza 🥹
Usikose kufuatilia 6 of Us leo saa 2:00 usiku ndani ya #AzamTWO