Mtoto wa marehemu, Joackim Mhagama, amesema kuwa mama yake, Jenista Mhagama, hana deni lolote kwani aliwatumikia wananchi kwa moyo wote na kwa dhati.
Ameeleza kwamba marehemu aliamini katika kufanya kazi kwa bidii na kuwataka watu wote kupenda nchi yao, kuwa wazalendo, na kwa vijana, kufanya kazi kwa bidii huku wakijiimarisha kwa uchaji na baraka za Mungu.
#Cloudsdigitalupdates