
Vita vya Sudan: Walinda amani sita wa Bangladesh wauawa katika shambulio kwenye kambi ya UN
Bangladesh ni miongoni mwa nchi zinazotoa mchango mkubwa zaidi katika ujumbe wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa na wanajeshi wake wametumwa kwa muda mrefu nchini Sudan.