Baada ya shangwe za kuhitimu na picha za joho, maisha halisi huanza.
Joho la Mtaa ni mjadala unaochambua safari ya wahitimu wa vyuo vikuu wanapokutana na uhalisia wa maisha nje ya kuta za darasa ndoto, matumaini na changamoto zinapopishana na ukweli wa mtaani.
Ni simulizi la sauti za wahitimu, waliovalia joho lakini wakajikuta wakijifunza upya kuishi, kupambana na kutafuta nafasi yao katika dunia halisi.
Joho la Mtaa si hadithi ya kukata tamaa, bali ni kioo cha ujasiri, maarifa na mwanzo mpya tukutane #SentroCloudsTv kuanzia 1:30 🕜 makachero na wahitimu wana mengi ya kusimulia.
#SentroCloudsTv