Bado Maryam anaendelea na uamuzi wake wa kuwa mkweli na kuhakikisha anasema kila kitu. Leo amewaambia Razan na mwenzake kuwa sio ndugu yao wa damu. Usikose kutazama UMMY leo saa 1:00 usiku ndani ya #AzamTWO