Bisura anajaribu kuweka sawa na watoto wake. Sheiza ampeleka Shakei kwa kina Hamida 😅 Baba Mussa amuwakia James bila shaka ni kuhusu mtoto wake kutojulikana yupo wapi. Usikose kutazama #PichaYanguSeries leo saa 1:30 usiku ndani ya #SinemaZetuHD