Katikati ya Jiji la Dar es salaam linapatikana Soko la Kisutu lenye Uwezo wa kubeba Wafanyabiashara zaidi ya 1500, kuelekea msimu huu wa Sikukuu hali ya Biashara Usiku katika Soko hilo ipoje?
Kachero wa Usiku Kama Mchana @ntibashima_tz amefika katika Soko hilo na kupiga Stori na wenyeji ndani yake, zaidi ni kuanzia moja na nusu leo usiku….kwenye Sentro ya Clouds Tv.
#SentroCloudsTv
#UKM
#USIKUKAMAMCHANA