“Kila wiki siku ya Jumatano tunakutana Kikoba kwahiyo kila mwanamke lazima ajifunze kuweka akiba, asipoweka akiba anapigwa faini. Kwa hiyo lazima ajishungulishe, auze mboga mboga, matunda, maji au afanye shughuli yoyote ili siku ya Jumatano ambayo ni siku ya vikoba awe na akiba ya kuweka na tuna utaratibu maalum. Tunaweka akiba yetu ambayo ni hisa, jamii, maafa, uwekezaji. Tunatamani na sisi tufungue makampuni yetu”- Tatu Pokela – Mwanakikoba

#LiveonClouds360
#Clouds26Nyoosha
#LainiYaWana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *