“Kwa sababu Mimi kama mama nitakwenda kukopa Kausha damu na kila siku lazima urejeshe kitu. Haijalishi unazalisha au la. Lazima inaathiri familia nzima. Sisi kama vikoba nawashauri sana tuepukane sana na mikopo ya Kausha damu, tujiunge kwenye vikundi ili tupate mikopo ambayo ina riba nafuu. Inalipika. Unakopeshwa unalipa ndani ya miezi mitatu, unalipa kidogo kidogo kulingana na uwezo wako. Na mikopo ya Kausha damu inaleta vifo katika familia”- Tatu Pokela – Mwanakikoba

#LiveonClouds360
#Clouds26Nyoosha
#LainiYaWana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *