“Kwenye vikoba vyetu tuna Idara ya miradi. Kwa mwanachama yoyote ambaye anataka kuanzisha mradi wowote aliyekuwa na elimu na huo mradi anaiona Idara ya miradi ili wamsaidie lile wazo la mradi ni sahihi kulingana na eneo lake!- Jaafari Moshi, mwanakikoba

#LiveonClouds360
#Clouds26Nyoosha
#LainiYaWana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *