“Pale chuoni kwetu CBE tulikuwa tunafundishwa mambo ya entrepreneurship kutokana na uhalisia wa chuo chenyewe kinafundisha biashara, mbali na Kanda yetu ya TEHAMA pia tulikuwa tunafundishwa entrepreneurship ili tujiajiri kwa baadae tukimaliza masomo”- Frank Gogadi, Mhitimu chuo kikuu
#sentroCloudstv
#Clouds26Nyoosha
#LainiYaWana