#HABARI: Baada ya Mji wa Uvira kutekwa na waasi wa AFC/M23, baadhi ya wapiganaji wa makundi ya wazalendo wameripotiwa kuanza kusalimisha silaha zao kwa waasi hao.
Hatua hiyo inatajwa kuchangiwa na hofu ya mashambulizi, ukosefu wa msaada wa kijeshi, pamoja na hali ya sintofahamu inayoendelea kutanda katika eneo hilo, wakazi wa Uvira wanaeleza kuwa hali ya usalama bado ni tete, huku raia wengi wakihofia usalama wao na mali zao.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania.