#HABARI: Bei za mazao ya Nafaka ukiwemo Mchele na Maharage, vimepanda katika masoko matatu ya Mabibo, Tandale na Magomeni, ambayo yamekuwa yakitegemewa na baadhi ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, kutokana na wanaoyapeleka katika masoko hayo kudai yameadimika kulikosababishwa na kukosekana kwa mvua za kutosha mahali yanapozalishwa.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *