#HABARI: Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani mkoani Mbeya, limewashusha baadhi ya abiria waliokuwa wakisafiri na mabasi mbalimbali yanayotoka mkoani humo, baada ya kubainika kuwa mabasi hayo yalikuwa yamebeba abiria zaidi ya uwezo wake.

Katika operesheni hiyo, Madereva wa Magari husika walichukuliwa hatua za Kisheria, ikiwemo kupigwa faini na kuamriwa kurejesha nauli kwa abiria waliokuwa wamepakiwa kupita kiasi.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonet

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *