#HABARI: Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Kanda ya Kusini, imeteketeza madawa ya kulevya aina ya bangi yenye uzito wa kilo gramu 73, yaliyokamatwa katika Wilaya ya Mtwara na kuiasa jamii kutojihusisha na biashara wala kilimo cha zao hilo ambalo ni kosa kwa mujibu wa sheria.
Wito huo umetolewa na Afisa Sheria wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Aggadi Jilala wakati akizungumza mara baada ya kuteketeza madawa hayo katika kinu cha kuteketeza vielelezo katika Kiwanda cha Saruji cha Dangote.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania