#HABARI: Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Loya, mwenye umri wa miaka kumi na mitano aliyefahamika kwa jina la Tausi Juma Yusufu, mkazi wa Kijiji cha Loyabondeni, Kata ya Loya, Wilaya ya Uyui, mkoani Tabora, amefariki kwa kudaiwa kutumbukia na kuzama kwenye Mto Gw’ala, uliopo katika kata hiyo.

Akizungumzia tukio hilo Mbunge wa Jimbo la Igalula, Mhe. Juma Kawamba, ametoa pole kwa familia akizitaka mamlaka kuimarisha ulinzi mtoni hapo ili kudhibiti matukio hayo yanayojitokeza mara kwa mara.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *