Katika mkutano na waandishi wa habari, msemaji wa Kremlin Dimtry Peskov amesema Ikiwa lengo ni kubadilisha mpango na amani kwa suluhisho la muda mfupi, hakuna uwezekano wa wao kuwa tayari kushiriki.

”Tunataka amani; hatutaki kusitishwa kwa mapigano ili kuipa Ukraine nafasi ya kupumua na kujiandaa kwa ajili ya kuendeleza vita. Tunataka kumaliza vita hivi, kufikia malengo yetu, kulinda maslahi yetu, na kuhakikisha amani barani Ulaya kwa siku zijazo,”

Merz aliwasilisha ombi hilo la kusitisha mapigano kwa Putin baada ya mkutano wa jana Berlin kati ya viongozi wa Umoja wa Ulaya, Ukraine na Marekani kuhusu mpango wa amani kwa Ukraine.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *