MARVEL’s THE PUNISHER KUANZIA JANUARI PILI, 2026

Baada ya kulipiza kisasi kwa watu waliohusika na vifo vya mkewe na watoto wake, Frank Castle anaendeleza moto dhidi ya wahalifu wa New York.

Kwa sasa anajiita mtoa adhabu yaani ‘The Punisher.’ Je, atafika hadi wapi na kazi hii aliyojivika

Usikose kutazama tamthilia ya The Punisher kuanzia Januari pili, 2026 ndani ya #AzamONE chaneli namba 101 kwenye kisimbuzi chako cha #AzamTV pekee.

#AzamONEUnloacked

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *