#MICHEZO: Makamu Mwenyekiti wa zamani wa Simba Godfrey Nyange Kaburu amezungumza na @hoseamchopa kuhusu mtazamo wake juu ya uwasilishaji wa Rais wa Yanga na Mwenyekiti wa klabu AFrika ACA katika kongamano la FiFA ambapo alitumia mashabiki wa Simba wakilalamika.
Kaburu amesema kama mwanasimba ameumia lakini ni ukweli tupu hivyo anatamani waichukulie kama changamoto.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania