Mkuu wa wilaya ya Ubungo, @albertomsando ameitaka Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo ibadili matumizi ya Shilingi Bilioni 10 zilizotengwa kwa ajili ya Ujenzi wa Hoteli Kata ya Sinza, ambapo kiasi cha Shilingi Bilioni 2 kitumike kuanzisha mradi wa huduma ya maji safi kwenye kila Kata.
#SentroYaCloudstv
#Clouds26Nyoosha
#LainiYaWana