“Nazungumza na Mameneja kila mara, kuhakikisha kwamba tusimamie mgao kwa haki, tupeleke maeneo yote…mwananchi anachotaka ni maji hataki siasa, hataki hadithi hataki kuniona mimi nimepiga picha niko pembeni ya bomba, anataka maji…”-Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Wakili Albert Msando.

#KUMEPAMBAZUKA
Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *